Kwa John,
Habari ya masiku bwana John.
Nasikitika kukufahamisha kwamba nimeacha kutumia vipa njia (routers) vyako kuanzia hii leo.
Sababu ya hii ni kwamba nime gundua chombo timilifu cha Vyatta kinacho nipa manufaa mara dufu pita Cisco.
Bei yake pia ni nyororo mfukoni na nina uwezo wa kufumua muundo wake (opensource) kindani zaidi kushinda hio Cisco yako.
Udhalimu na unyonyaji wa makampuni makubwa makubwa kama yako ndio ina tusukuma sisi akina yahe kutumia na kugundua njia tofauti za kufanya mambo. nikome!
Kwaheri ya kuonana